1 / 4Yupo Mungu anayejali.
Unapohisi hakuna anayekujali, kumbuka kwamba Mungu anakuona, anakusikia na anaelewa kila unachopitia. Hauko peke yako; upo mikononi mwa Baba anayekupenda. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
1 / 4Unapohisi hakuna anayekujali, kumbuka kwamba Mungu anakuona, anakusikia na anaelewa kila unachopitia. Hauko peke yako; upo mikononi mwa Baba anayekupenda. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa