Zaburi 117Telezesha kushoto au kulia kubadili sura1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.